Recent content by Emmanuel Mwawela

  1. Emmanuel Mwawela

    Takwimu za vifo na visa vitokanavyo na Magonjwa ya mzunguko wa Damu mwilini

    Kulingana na utafiti uliofanywa na WHO(world Health Organisation) mwaka 2010 kwa asilimia 12% magonjwa ya Moyo yalitoa visa vya VIFO takribani million 17.3 na inakadiliwa kwamba ifikapo mwaka 2030 kutakuwa navisa visivyopungua million 23.7 vya vifo vitokanavyo na magonjwa ya Moyo na mzunguko wa...
Back
Top Bottom