Kiwanja chenye ukubwa wa ekeri 4 (squire meter 16690) kinauzwa kiko kunduchi mtongani kinapakana na bahari ya hindi.
bei ni dola 1.8 mil($1.8 MIL)
Kimepimwa na kina hati na kiko ndani ya uzio(fence)
kwa mawasiliano zaidi piga 0714358610
Nyumba kubwa ya vyumba vinne,public toilet,sitting room na jiko
pia ina nyumba ndogo kwa nyuma ya vyumba viwili kimoja ni master na store inauzwa iko tabata kimanga bei ni milioni 80
ina hati.
mawasiliano zaidi 0714358610...
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 3.75(squire meter 15700) kinauzwa kipo mbweni kinapakana na barabara ya kuingia mbweni,kimepimwa na kina hati.
bei ni bilioni moja.
kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa simu no
0714358610
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.