Recent content by Dyslexia Tanzania

  1. D

    JamiiForums Tanzania Dyslexia ni nini?

  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa Kuhusu Dyslexia, hivi huu ni ugonjwa, hali au ni nini?

    Hii Umeitendea haki maeleozo mazuri sana ya kumfanya mtu apate pa kuanzia, wazazi na walimu wengi hawako aware na Dyslexia na hii Inapelekea watoto wengi kumaliza shule hawajui kusoma na kuandika
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dyslexia ni nini?

    Dyslexia ni changamoto katika ubongo ambayo husababisha matatizo katika kusoma, kuandika, na kuelewa lugha. Hii ni kutokana na shida katika jinsi ubongo unavyochakata habari za maandishi. Watu wenye dyslexia wanaweza kuwa na changamoto katika kutambua herufi, kusoma kwa kasi, na kuelewa maana...
Back
Top Bottom