Recent content by Dunia

  1. D

    House4Rent Chumba kinapatikana buguruni kwa mnyamani

    nilikuwa bize sana na kazi. kwaiyo sikuwahi kumwambia mtu. Pia sijamwambia dalali yeyote, ndio maana kimekaa muda wote huo. Ni maamuzi ndio yamenijia jana eti nitangaze huku JF. Haina shida lakini naweza kukitumia kama Guest House nikiwa na mchepuko
  2. D

    House4Rent Chumba kinapatikana buguruni kwa mnyamani

    anaehitaji APIGE SIMU. USITUME UJUMBE WALA KUBIP. NAMBA 0686128483
  3. D

    House4Rent Chumba kinapatikana buguruni kwa mnyamani

    nyumba iko safi sana, ina geti, ina slingbord (singi bodi), sakafu safi. kuna wapangaji wengine watatu, kwaiyo wewe utakuwa wa nne.
  4. D

    House4Rent Chumba kinapatikana buguruni kwa mnyamani

    Habari! Kuna chumba kinapangishwa maeneo ya Buguruni kwa Mnyamani. Chumba hicho nilimpangia dada angu ambaye alikuwa anatoka mkoani kuja Dar, lakini kwa bahati mbaya akapata majukumu mengine huko mkoani ivyo hawezi kuja tena. Chumba kimekaa miezi miwili sasa bila mtu. Nililipia kabisa miezi 4...
  5. D

    Ushauri: Nimebeba ujauzito wakati mshono wa mimba ya kwanza haujapona vizuri

    asanteni ndugu zangu wote mlionishauri, mbarikiwe sana, kesho mapema naenda hospitali, nitawapa mrejesho. asanteni sana, tuendelee kusaidiana na kupeana ushauri, sote ni binadamu tunamapungufu na tunakosea pia. asanteni
Back
Top Bottom