Recent content by Dunia Mwalukasa

  1. Dunia Mwalukasa

    SoC02 Mimi ni Sayari

    Thanks for your time
  2. Dunia Mwalukasa

    SoC02 Mimi ni Sayari

    Hata kulalamika kwamba umeme unakatika kila siku wakati hata ule kidogo uliopo unautumia kuchajia simu ni kufikiri ndani ya kasha. Wachina wanautumia umeme kubadili usiku kuwa mchana ili wafanye kazi sisi tunautumia umeme kuchaji simu ili tusikose kuchat. Umeme ukikatika tunawatukana TANESCO...
  3. Dunia Mwalukasa

    SoC02 Wewe ni mshindi

    Siku zote wewe ni mshindi
  4. Dunia Mwalukasa

    SoC02 Wewe ni mshindi

    Wewe ni mshindi amka na Tumaini jipya Umaskini unaweza kukunyima vingi, lakini usikubali kujishushia thamani yako kwa sababu ya umaskini. Usione umechakaa, thamani yako iko palepale. Fanya kuiboost. Uchakavu wa noti hauondoi thamani yake. Kumbuka maskini ni tajiri asiyekuwa na pesa na utajiri...
Back
Top Bottom