Recent content by Drama.abk

  1. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Nina 750k, nahitaji Note 3

    Kama unayo ni PM
  2. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Sawa mkuu.
  3. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Hiyo ndo bei mkuu. Hapo nimeishusha sana, hizi laptop ni very rare na zina perform vizuri tu
  4. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Sawa mkuu nimekuelewa
  5. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Kwanini niseme uongo mkuu, ni mpya kabisa mkuu. Haina hata Scratch
  6. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Nimekuelewa mkuu, sina Camera alafu simu yangu ya tochi ndo maana kuweka picha inakuwa ngumu mkuu. Ila unaweza kuiona hata kama hauna mpango wa kuinunua
  7. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Sina njaa ndugu yangu. Ndo maana nimesema SERIOUS BUYERS only. If you are interested Send me a PM. Utaiona kwanza ndo uamue mwenyewe kuchukua au la!
  8. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Windows 7 Starter ndo inayokuja nayo ila unaweza kuweka yoyote utakayopenda. Ni 32-bit
  9. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Poa mkuu naona ulikosa kitu cha kusema :A S thumbs_up:
  10. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Mkuu ndo maana nimetoa jina na model ya hiyo laptop ili uingie GOOGLE na kuicheck. Nimeshindwa kuweka picha
  11. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Mkuu ndo maana nimetoa jina na model ya hiyo laptop ili uingie GOOGLE na kuicheck. Nimeshindwa kuweka picha
  12. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    Kusema kweli kuelezea sitaweza vizuri ila unaweza ukaingia GOOGLE na Andika NOTEBOOK FANS na utaona nichomaanisha mkuu
  13. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania Mini laptop mpya inauzwa

    ASUS X101CH NOTEBOOK 2GB RAM 280GB HARD DISK DRIVE (HDD) 1.6GHz PROCESSOR INAKUJA NA EXTERNAL FAN YAKE BRAND NEW!!! BEI NI 290,000/ (FIXED) NIPO DAR ES SALAAM Ni PM kama upo interersted SERIOUS BUYERS ONLY
  14. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania PS3---Quick Sale!

    Inakuja na what games?
  15. Drama.abk

    JamiiForums Tanzania PS3---Quick Sale!

    300,000 je?
Back
Top Bottom