Aina 15 ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume,na kuweka mwili sawa.
1.Tende.
Katika kila gram (100) ndani ya tende kuna virutubisho kwa asilimia kama ifuatavyo.
Chuma (iron). 5.50ppm.
wanga (cabohydrate) 78.8%.
Nishati (energy) 317kcal.
Hamirojo (protin)2.5%.
Mafuta (fat).0.4%.
Kamba...
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo.
Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake.
Kwa kawaida ugonjwa huu hutokea pale ambapo sehemu ya nyama ya moyo inapoharibika au kufa
kutokana na kukosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.