Recent content by DR.VIDONDA VYA TUMBO

  1. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Helicobacter pylori (H. pylori ) ni bakteria ambao husababisha uvimbe sugu( gastritis ) ndani ya tumbo la binadamu . Bakteria hawa huchukuliwa kama visababishi vya kawaida vya vidonda vya tumbo duniani kote, asilimia 90% ya watu wote duniani wenye vidonda vya tumbo wamekutwa na H.pylori. Kama...
  2. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    Nimepoteza ndugu watatu kwa vidonda vya tumbo na mimi nilikuwa naelekea huko huko! lakini sasa napiga pombe kama kawa nilikuwa na miaka 10 bila kunywa pombe!
  3. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    Nakuombea uumwe wewe alafu uzunguke weee ukatwe utumbo alafu urudi unywe hii dawa
  4. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    nyie hii dawa watu wapona wengi sana acheni kuleta mambo ya bunge la katiba mimi nimeanzisha hii thread nilikuwa nimelazwa nangojea kufa tena wanotangaza star tv ni wagonjwa wenyewe! matibabu ya miti shamba ni sahihi zaidi kuliko dawa za phamacy! na vifo vya wagonjwa wa vidonda vimepungua sana
  5. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    mimi si muhusika ila ni kati ya wagonjwa niliyepaswa kufanyiwa operation nilikuwa mgojwa sana lakini nimepona nakuanza kusoma kwenye mtandao nasasa naandika kitabu kuhusu vidonda vya tumbo
  6. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    busu am denda ni moja ya njia za kuambukizana bacteria h.pylori
  7. DR.VIDONDA VYA TUMBO

    JamiiForums Tanzania Busu la mdomoni huambukiza vidonda vya tumbo

    Helicobacter pylori (H. pylori ) ni bakteria ambao husababisha uvimbe sugu( gastritis ) ndani ya tumbo la binadamu . Bakteria hawa huchukuliwa kama visababishi vya kawaida vya vidonda vya tumbo duniani kote, asilimia 90% ya watu wote duniani wenye vidonda vya tumbo wamekutwa na H.pylori. H...
Back
Top Bottom