DOXA 2310 Enterprises Inahusu kukusadia kupata vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu na ubora kwa kukuelekeza jinsi ya kujua ubora wa vifaa hivyo ikiwemo mabati,mbao,tile na vinginevyo,
kupitia uzoefu wetu wa kufanya kazi katika viwanda vya mabati,kufanya kazi na ma agent karibu wote hapa,pia kutumia utashi na elimu ya kujiongeza kujua kiundani ukweli wa ubora na bei,pamoja na uharisi wa usafirishaji pamoja na gharama nafuu za kupaua kupitia mafundi tuliofanya nao kazi kuanzia viwandani,yote hii ni kukusaidia ujenge kwa unafuu
-
50
30 messages posted. You must like it here!
-
25
Somebody out there liked one of your messages. Keep posting like that for more!
-
20
Post a message somewhere on the site to receive this.