Hali hiyo ilinitokea mwanzoni kiongozi kiasi kwamba nikawa kama akili yangu inakubali kufanya chchte nikawa napiga Hadi picha ya choo changu ili nimuonyeshe Dr ,make nilianza kuhisi kichefuchefu ,mwili ukawa unachoka ,haja laini sana na inayoteleza mnoo na mabadae maji maji pia kama awamu nne...
Ndio niliambiwa ni amoeba na nilipima vipimo zaidi ya kimoja ukiwa ni pamoja na kisukari,HIV, UTI, pressure,wingi wa mafuta mwilin make pia Nina mwili kidogo zaid ya kilo 80 lakini niliambiwa tatizo ni amoeba
Jamani nimekua nikifuatilia taarifa nyingi sana za jamii forum ila nilisoma taarifa za ndgu zangu walio teseka na ugonjwa wa amoeba mwaka 2012/2018 walivyokua wakielezea changamoto zao jamani na Mimi naombeni msaada Nina miezi miwili sasa nateseka ugonjwa wa amoeba nimetumia dawa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.