Recent content by Doctor Decima

  1. Doctor Decima

    Jiwe La Nyoka Na Utapeli Mwengineo

    Niki copy & paste kila kitu google hawataindex hiyo post kwenye search, hivyo wengi wasiokuwa JF hawataiona wakiitafuta baada ya muda mrefu. I hope umeelewa
  2. Doctor Decima

    Jiwe La Nyoka Na Utapeli Mwengineo

    Kiufupi, Mawe ya nyoka au Jiwe la sumu ya nyoka au Jiwe jeusi, hayafanyi kazi hata kidogo, hasa tukiongelea kuondoa sumu kwenye eneo la mwili lililong’atwa na nyoka. Dunia ina vituko vingi mno, na mara nyingi vituko hivi huweza kwenda miaka mingi, kizazi baada ya kizazi pasipo kujulikana na...
Back
Top Bottom