Kumekuwa na malalamiko na hofu miongoni mwa baadhi ya wazazi kuhusu utoaji wa chanjo ya polio mwaka 2026, hasa katika eneo la Ilala, Dar es Salaam.
Baadhi ya watoa huduma wamekuwa wakifika majumbani na katika madrasa kuwapatia watoto chanjo hiyo, huku baadhi ya wazazi tukiwa hatujapata taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.