Recent content by djchilipo

  1. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    Poa poa ndugu.. Taratibu tu
  2. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    'Kuchamba' hahahah.. sijawachamba ndugu, Labda ni namna ongea yangu ilivyo ndio hujaizoea.. / Zile za kuvuta (Vacum Cleaner) pia tunazo nyingi.. Zipo za ukubwa wa 15Lita Ni 250,000 / 30L - 350,000 / 50L - 400,000 / 100L - 850,000.. Hizo zote ni 'DRY & WET' Vacum cleaners.. na Zina Blow na Ku...
  3. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    Yeah kweli.. Inakua poa pia watu tofauti tofauti humu wakitag location..nna imani wapo
  4. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    Sawa sawa Ndugu.. Nimechukua wazo lako
  5. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE WASHER MPYA ni KUANZIA 650,000 TU, Hiyo ni ya Petrol Na inakua Complete.. za UMEME ni kuanzia...
Back
Top Bottom