Recent content by Dith

  1. Dith

    Gari Hilux inauzwa

    Hauna hela ndio maana
  2. Dith

    Gari Hilux inauzwa

    Wabongo huwa hamkosi kukosoa, ujinga mwingi sana. Huna hela pita kushoto
  3. Dith

    Gari Hilux inauzwa

    Nauza gari, yenye namba usajili B. Gari ipo kijichi Dar. Gari haina shida yoyote. Bei ni 23M. Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  4. Dith

    Plot4Sale Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

    Limepungua bei. Sasa ni 13M
  5. Dith

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Namaanisha limepaki muda mrefu bila kutumika.
  6. Dith

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Namaanisha ina muda imepaki. Yaani haijatumika muda imepaki
  7. Dith

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Wapo wanayoilewa mkuu.
  8. Dith

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo). Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  9. Dith

    Ezytrade Africa Smartshop Chochote Popote

    Asanteni sana kwa huduma yenu
  10. Dith

    Anaetaka shamba Mkuranga tuwasiliane

    Karibu
  11. Dith

    Plot4Sale Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

    Wadau shamba linauzwa mkuranga
  12. Dith

    Huduma ya Fumigation, Landscaping And Gardening

    Tunaendelea kutoa huduma. Karibu tukuhudumie
  13. Dith

    Plot4Sale Nauza shamba maeneo ya Mkuranga

    Shamba bado lipo
  14. Dith

    Anaetaka shamba Mkuranga tuwasiliane

    Nauza shamba. Shamba lipo maeneo ya mkuranga kikungo sehemu panaitwa kibululu karibu na Kibululu Primary School (Kikungo ni kituo cha mbele baada ya Kiparang'anda). Lina heka 4 zinapelea kidogo. Kuna miembe, michungwa, migomba midogo, miti ya nazi, korosho, limao, stafeli, mipapai midogo, n.k...
Back
Top Bottom