Recent content by DILA COSTER

  1. D

    Kiwanja kinauzwa wilayani Ilemela, Mwanza

    25 millions ila kama unapungufu nipigie simu tuongee vizuri
  2. D

    Kiwanja kinauzwa wilayani Ilemela, Mwanza

    Usiogope bei unaongea ulichonacho kama inawezekana biashara inafanyika kiwanja ni kikubwa Sana na maeneo mazuri sana
  3. D

    Kiwanja kinauzwa wilayani Ilemela, Mwanza

    Ninauza kiwanja million 22 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo mtaa wa Kahama karibu na ofisi kuu za WILAYANI ILEMELA. Urefu 65 na upana 60 na barabara inaingia mpaka kiwanjani. Kiwanja ni changu kimepimwa upimaji shilikishi. Kiwanja hiki ni eneo zuri kwa SHULE, GUEST...
  4. D

    Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Kimepimwa upimaji shilikishi kina beacon pande zote nne... Na Kuna barabara imayo Kuja mpaka kiwanjani
  5. D

    Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Ni kikubwa kama ukionavyo na eneo limeisha jengeka lote kimebakia chenyewe tu ila usiogope Sana bei. Unaweza kuongea ulichonacho na tutajadiliana kama kuna uwezekano. Asante.
  6. D

    Kiwanja kinauzwa Kisesa, Mwanza

    Ninauza kiwanja Million 10 nafungua majadiliano kwenye bei. Kiwanja ni kikubwa kipo Kisesa eneo la Mwandulu. Urefu 42 na upana 36. Kiwanja ni changu kimepimwa, upimaji shirikishi. Kiwanja kimebakia katikati pekee, hakijajengwa majirani wote wamejenga tayari. Kwa maelezo zaidi namba yangu ni...
Back
Top Bottom