kwanini mtu Wengine wanakula vyenye sukari nyingi ingali Hali wanajua vinamadhara?
au kwanini watu wenye AFYA na mwili mzuri ndio wapo uwanja wa mazoezi na gyme wakati wenye vitambi ni mzigo kufanya hivo?
kwanini watu wanaokula chakula sawa lakini mmoja anatunza mafuta mwilini afu mwingne yupo...
Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?...
👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako ya ndani (subconscious mind).
👉 Lishe na mazoezi ni 30% ya mafanikio, lakini akili yako ya ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.