Recent content by delp307

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kioo cha samsung s9

    Nenda kariakoo , mtaa wa uhuru, opposite na shule ya Benjamin mkapa Kuna maduka ya simu kule. , ingia ndani ya maduka , usiwape wale mafundi wanaoka mezani nje . Bei ya kioo namba Moja ni 180,000 bei ya kioo namba mbili ni 90,000 hadi 100,000
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    asante kwa ushauri, uvumilivu muhimu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    asante kwa ushauri
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    shida ndio hapo mpaka umpate huyo mnunuaji
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Yes kweli ni kibaka tu, inabidi tuongezee ulinzi kwenye nyumbani zetu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Ujumbe umefika mkuu, nitalifanyia kazi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Wizi mwingi siku hizi ni wa madirishani. Wezi wanabanjua madirisha ya aluminum, hata kama Umefunga wanaweza kuyafungua. Hizi alarm utakapoweka dirishani, mwizi akijaribu kufungua dirisha alarm itapiga kelele tu. Hapo mwizi hawezi kubaki
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Karibu sana, namba zangu hizo hapo tuwasiliane
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Mwanasheria wangu Bado hajamaliza masomo. Kasema nisithubutu kujibu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Acha tu ndugu yangu, Kila mtu anajua siku hizi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Hongera Kwa kufanikiwa Kwa Hilo kupata kifaa chako. Vyote ni muhimu gps na alarm vikifanya kazi Kwa pamoja
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Asante Kwa ushauri, nitarekebisha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Nitalifanyia kazi Ili swala na kurudi btena ubaoni
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Asante
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Kuna sensor ambazo ni pet-immune kwahiyo haziwezi kusumbua
Back
Top Bottom