Recent content by David2022

  1. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    150k ndogo sana mtu wangu... Bei ya mwisho nitakufanyia 350k
  2. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    Ipo moja tu ndugu tangu
  3. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    Ninayo moja tu kaka... Nilinunua kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ila kabla sijanunua betri nikakukuta wife kanunua generator kubwa. So nipo stuck nayo.
  4. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    Dronedrake kaelezea vizuri hapo.... Kwa kifupi inatumika kutunza umeme (kama power bank). Hivyo umeme wa Tanesco ukikatika, kwako kunakuwa poa tu. Ni kama kuwa na jenereta bila makelele... Na hii niliyo nayo ina uwezo wa kutunza umeme wa masaa 60...
  5. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    Habari. Samahani, bei ni Tshs 400,000/=..
  6. D

    INAUZWA Ninauza Back up Inverter ya SunNova

    SunNova Solar Inverter Pure Sine Wave (Brand New/Haijawahi kutumika) Falcon Eco 2000VA/24V Power - 1,300W Weight 15.5kg Ninapatikana Mbezi Louis (Mageti) Kama upo interested nicheki 0629 019820
Back
Top Bottom