Comrade wanaharakati ni sehemu mojawapo kati ya makundi yanayounda makundi mbalimbali ya wananchi katika taifa. Na mara nyingi sauti za wanaharakati kwa kushirikiana na makundi mengine ndani ya jamii ndiyo hubeba matakwa ya wananchi walio wengi dhidi ya watawala wao. Wanaharakati hufanya kazi ya...
Hakika. Personally tayari. Andiko limebeba hoja na hitaji na shauku ya wengi. Lazima tuwaite wengi, kwa pamoja tuonyeshe shauku yetu kwa Katiba Mpya itokanayo na wananchi wenyewe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.