Gari ni yangu mwenyewe na haihitaji service yoyote kwa sasa pia ina
Parking Assist,
Day time running light
Millage 62,300km
CC 1390
New tyres
Bei 32m
Ipo Dodoma
0715140001
Mkuu hii haitoshi kama unataka kuamin mimi mtu akija kukagua namuonesha picha za gari ikiwa na Odometer ya japan kabla ya kuagiza mana picha zote ninazo halafu ataangalia mwenyewe mana gari ina miez mitatu tu
Siwezi fanya biashara ya ujanja ujanja kaka..........hii gari nauza sababu naenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.