Recent content by dalali mdogo

  1. dalali mdogo

    Majiko ya kuchoma nyama kwa kutumia gesi

    Inakua na ladha kama ilochomwa na mkaa tu mkuu
  2. dalali mdogo

    Majiko ya kuchoma nyama kwa kutumia gesi

    Wakuu natengeneza na kuunda majiko ya kuchomea nyama kwa kutumia gesi ,majiko yanatumia gesi kidogo kwavile ni low preasure na pia yanachoma kwa haraka sana na pia yanadumu kwa kipindi kirefu 0656476747
  3. dalali mdogo

    Epuka kukaa na mtungi wa gesi ndani

    [emoji91][emoji95] usalama kwanzaa[emoji95][emoji91] - Je unaishi na mtungi wa gas ya kupikia ndani? [emoji52] Si salama KARIBU TUKUFUNGIE system yenye uhakika wa usalama wako wewe na familia, Pia utafungiwa regulator yenye kuonesha! kiasi cha gas kilipofikia pamoja na gas stopers ndani na/au...
  4. dalali mdogo

    Nauza (MIG) Mashine ya kuchomelea

    laki tano boss
  5. dalali mdogo

    Nauza (MIG) Mashine ya kuchomelea

    bei laki saba kwa hiyo kubwa boss
  6. dalali mdogo

    Nauza (MIG) Mashine ya kuchomelea

    nipo mbezi beach mkuu
  7. dalali mdogo

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kiluvya

    Mkuu we nenda tu kanunue huko mkuu.
  8. dalali mdogo

    Plot4Sale Nauza kiwanja Kiluvya

    Nauza kiwanja Kiluvya njiapanda ya kwa Sumaye. Kiwanja kinaukubwa wa nusu heka, kimewekwa mawe bado hati tu. Kipo karibu na miundombinu yote barabara na umeme Bei ni milioni 13 Kwa mawasiliano, nicheki kupitia: 0656476747, 0692498691
  9. dalali mdogo

    Nauza (MIG) Mashine ya kuchomelea

    Nauza MIG welding machine ni kubwa sana na nikama mpya haina dosari yoyote ile njoo ukague mzigo ubebe bei za kutupa tu 0656476747 0692498691
  10. dalali mdogo

    Nauza laptop aina ya Dell

    Ram 8gb hdd 500gb chaji yake inadumu masaa 3 Tsh 280,000/= 0656476747 0692498691
  11. dalali mdogo

    FUNDI MAJIKO YA GESI

    wanajamvi natengeneza majiko ya gesi ya majumbani , migahawani na mahotelini , majiko ya kukaangia chipsi, majiko ya mashuleni au sehemu zenye population kubwa vilevile nafunga system ya gesi maabara za mashuleni kwa maelezo mengi maswali au any comment napatikana kwa namba 0656 476747 0692498691
Back
Top Bottom