Recent content by Dalali Alpha

  1. Dalali Alpha

    Car4Sale Gari Inauzwa: ToyoAce Pick Up

    Ndicho Ulichoona Wewe, Kama hauna pesa biga kimya
  2. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Unajifanya Unaponda Kumbe Mbwiga tu
  3. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Mungu nae anaangalia watu wa kuwapa vitu kama hivi, hawezi kukupa bwiga kama wewe.
  4. Dalali Alpha

    Car4Sale Gari Inauzwa: ToyoAce Pick Up

    Share na Mwenzio habari hii njema..
  5. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Masikini tukipata Kidogo huwa tunashida sana... Watu wenye nyumba kama hii, hawanaga muda wa Kupoteza kwenye mitandao, kuandika ujinga
  6. Dalali Alpha

    Car4Sale Gari Inauzwa: ToyoAce Pick Up

    Make: Toyota Model: ToyoAce Capacity: 1.25 Tons Type: Pick Up Gear: Manual, 5 Gears Mileage: 197,211Km Bei: Tshs 11,500,000 Mahali ilipo: Dar es Salaam, Mbezibeach Vibali vyote vimelipiwa, gari imenyooka, namba '' D '' Maelezo Zaidi: 0716442950
  7. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Sehemu za Kutangaza zipo nyingi sio Jf tu, kuna Facebook, instagram, Kupatana, Zoomtanzani, Jiji, Blogs, n.k Huko watu kama nyinyi huwa tunawablock maana tumepewa uwezo kufanya ivyo lakini jf block yao haina maana.
  8. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Sio wote wenye Uwezo wa Kulipa laki 3 Kwa Mwezi, nawanataka Kuishi mbezibeach kwasababu zao mbalimbali.
  9. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Wewe kama hauna uelewe wa industry ya Realestate inavyoenda bora ukae kimya. Wajanja wenye akili, kutokana post nilizoweka tayari wameshapata picha, Kwavile wewe ni Slow learner siburi Mwalimu aje akufundishe..
  10. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Conscious mind, think before they speak. Just do some little research on real estate market in dar es salaam. You are ignorant.
  11. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Chumba Choo ndani na Sebule na jiko Mahali: Mbezibeach Kwakomba Kodi ya Mwezi: Tshs 180,000 Kwa Mwezi Maji ya bomba/dawasa, Umeme Luku watatu, Fensi na geti, Parkng ipo. Maelezo Zaidi: 0716442950
  12. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Chumba Singo, Choo Cha nje Mahali: Mbezibeach Shule Kodi ya Mwezi: Tshs 60,000 Kwa Mwezi Maji ya bomba/dawasa, Umeme Luku watatu, Fensi na geti, Parkng ipo. Maelezo Zaidi: 0716442950
  13. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Bibi yako Kijijini anaishi kwenye Nyumba ya nyasi huko kijijini kwenu, mvua ikinyesha analoa.. Nakushauri huu muda unaoupoteza hapa kucoment ujinga kwa fikra kwamba unaniharibia, ungeutumia kutafuta pesa ukaboresha maisha bibi yako huko kijijini.
  14. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Nimeleta Kujifurahisha tu, ila akitokea mteja wa maana tunafanya kazi.
  15. Dalali Alpha

    House4Rent Vyumba vya Kupanga-MbeziBeach

    Mahali: Mbezibeach - Kwazena Kodi ya Mwezi: Tshs 800,000 Apartment yenye fanicha ndani, ina Chumba Kimoja cha kulala ambacho ni Masta, Sebule, Jiko na Choo cha wageni Ina: Fensi na geti, Maji ya bomba/dawasa 24hrs, Umeme Luku yake. Gharama za Maji na Ulinzi, zimejumuhishwa kwenye Kodi...
Back
Top Bottom