Kazi nzuri kijana, kura umepata
Naomba ikikupendeza unaweza kupitia na kutoa maoni yako na kura kwenye andiko Soc 2022 za molekuli baiolojia ni kiboko ya majanga ya Dunia mfano ugonjwa wa korona &
SOC Tanzania ya sayansi na teknolojia inawezekana na ina mchango mkubwa katika kuendana na...
Kuwasapoti wanasayansi wa ndani na kuwapa motisha, kuendeleza kile walichogundua na kuwapa mishahara mizuri hii itasaidia kukuza sayansi na teknolojia nchini, Mazingira mazuri inahusisha mitaji kwa ajili ya uwekezaji kwenye sekta hii, suala ambalo serikali inatakiwa kukusanya fedha mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.