Recent content by dada g

  1. D

    JamiiForums Mrejesho wa uzazi: Nashukuru wote mlionisaidia, nimeweza kupata ujauzito

    Nimeleta mrejesho, miezi mitatu iliyopita niliomba ushauri kuwa sishiki mimba sababu ya sindano za uzazi nilizotumia. Asante kwa walionishauri, lakini nashukuru Mungu sasa ni mjamzito nilitumia dawa ya kienyeji ya Kihaya. Wahanga msikate tamaa!
  2. D

    JamiiForums Hello doctor na wana JF wenzangu

    duh pole Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom