Recent content by d lemu

  1. d lemu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Nashukuru sana ndugu yangu kwa msaada mzur Mungu akupe maisha marefu.,naatafanya ivyo na kesho naenda nunua ile cream ya scaboma tena naona imeisha
  2. d lemu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    kaka nashukuruni sana kwa msaada enu,nashukuru Mungu vimekauna tatzo lilikua kwel ni scabies ,wamenitesa mwaka mzima na saiv nimepona kabisa vimekauka byote
  3. d lemu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    thanks sana kaka nashukuru kwa msaada oko bado natumiaa scaboma naona kidogo unafuu ndio kaka nilianza tumia scaboma kidogo bali imekua nafuu ila bado
  4. d lemu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    ndugu samahani kwa picha iyo ila mwenzenu ilo ni tatizo ambalo lina nisumbua kwa mda mrefu ivyo ni vitu ambavyo ninavyo mda mrefu nimejaribu kupitia kwa wataharamu mbalimbali ila tatizo bado, 'mejaribu kupima kaswende na vvu ila ckua navyo., nika pigwa sindano 5 va mkononi ila tatzo likawa bado...
  5. d lemu

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    kaka ulipona kwa dawa zipi mana ata mm na tatizo ilo sis tuna tatzo ilo ka lako ila tuko mkoa wa mbali uku mabigwa wa ngozi hatuna tuna maduka ya dawa tuh nimepaka scaboma ila tatzo bado cjui sasa iyo dawa ya kidonge labda ndo labda ingekua msada vzr
Back
Top Bottom