Mimi ni kiziwi pia nimeupata ukiziwi nikiwa na miaka 5 nimeanza kujifunza lugha ya alama nikiwa shule ya msingi Meru kitengo cha viziwi kilichopo jijini Arusha, nimeenda sekondari (Tanga Technical School) hakuna lugha ya alama kabisa lakini nikafanikiwa kuenda chuo (IAA) kule nako hakuna lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.