Recent content by Coutinho zenji

  1. C

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Unayosema ni sawa ila kwangu chaputa ndio ilikua tatizo.
  2. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Asante pia na hongera wa kua muelewa mm adi sasa napata matusi adi nafikia kujuta kwann niliandika Uzi huu ulionipata sijui watu wengine wanamaana gani hua wanapenda kuona watu wanaendelea na kua watumwa wa haya matatizo walikua wanajua mm nitaitaji pesa kwa RAIA hapana mm kutaka formula za watu...
  3. C

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Wanaotaka formula nishaeka Jana so fatilieni Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Uko vizur kaka hongera Sent using Jamii Forums mobile app
  5. C

    Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Hata sisi tulikua ivo subir ikuathir utarud hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. C

    Punyeto inanitesa

    Pole broo fuatilia baadhi ya Uzi nilizoeka kupona upungufu na formula ya kupona ila najua we bado hujapata madhara unataka kuacha zipo njia unaweza acha kabisa na wala usiwe unafikiria sema na moyo wako kwanza kua unaacha than nitakuekea Uzi njia ya kuacha punyeto Sent using Jamii Forums mobile app
  7. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Hili ndo tatzo LA watanzania sasa kama unaumwa unafanyaje wengine wanauziwa formula ama madaya ya kuchanganya zaid ya laki 3 we umepewa bure unalalamika garama au na garama pia nikupe mm kama unamatatizo hautaweza sema ivi we mzima Sent using Jamii Forums mobile app
  8. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Hizi ndo zuchini ama zukini sijui kwenu munazitambua kwa lugha gani Sent using Jamii Forums mobile app
  9. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Fanya mazoezi alaf kula vyakula visivoeleweka kama utatibika Sent using Jamii Forums mobile app
  10. C

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Itafaa ikiwa unaweza hivo lengo ni viingie tumbon Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom