Habari ndugu zangu wana JF nipende kuwaalika kusoma makala yangu ju ya afya ya akili na ikikupendeza nipigie kura ili ilete tija kwa jamii jinsi ya kupiga kura gusa kimshale "^" mwisho wa makala yangu na utakuwa umeshapigia kura makala yangu 🙏🙏
Kuna msemo usemao "self care is not a selfish" ukiwa na maana kuwa kujijali sio ubinafsi.
Unapojali afya yako ya mwili kwa chakula kizuri, mavazi mazuri na hata matibabu mazuri kumbuka pia kujali afya yako ya akili.
Natambua kuwa tunatingwa na shughuli m alimbali za kutafuta tonge lakini...
Tunapozingatia kwenda kwenye vituo vya afya na kwenye hospitali kubwa kufanya uchunguzi (checkup) tusisahau kwenda kwenye vituo vya ushauri na kwa wataalamu wa saikolojia na afya ya akili kuangalia utimamu wetu wa kisaikolojia na kihisia kwani utimamu wetu wa kihisia na kisaikolojia una mchango...
Kikubwa ni uelewa kwani hata mtu akiwa na magonjwa mengine kama saratani, magonjwa ya moyo n.k garama kubwa hutumika kutibu .
Lakini pia kuna kituo kinatoa hudhma za ushauri na saikolojia kinaitwa Same Counseling Foundation kipo wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro lakini pia watu hawaendi kwa...
Tupaze sauti tuokoe kizazi hichi na kijacho watu wengi watafungwa kutokana na mauajia yanayosababishwa na wivu wa mapenzi lakini kuwafunga sio suluhisho zaidi ya kumuongezea matatizo mengine ya afya ya akili
Naombeni wadau ukipata mda pitia makala yangu na ikikupendeza uipe kura ili kupitia jukwaa hili la story of change serikali ione umuhimu wa kupambana na changamoto hizi za afya ya akili ni wazi kuwa kundi hili labmagonjwa ya akili lipo kwenye makindi ya magonjwa yasiyoambukiza lakini waathirika...
Na hiyo takwimu ni ya mwaka jana nafikiri mwaka huu takwimu itaongezeka zaidi kutokana na mambo kadhaa yanayosababisha mfadhaiko wa akili mfano mabadiliko ya tabia nchi yameathiri sana watu ukame watu hawana chakula garama zamaisha zimepanda hii imechangia sana watu kuwa na msongo wa mawazo...
Na hiyo takwimu ni ya mwaka jana nafikiri mwaka huu takwimu itaongezeka zaidi kutokana na mambo kadhaa yanayosababisha mfadhaiko wa akili mfano mabadiliko ya tabia nchi yameathiri sana watu ukame watu hawana chakula garama zamaisha zimepanda hii imechangia sana watu kuwa na msongo wa mawazo...
Jamani naomba kwa kila mwenye nafasi asome hii makala itamsaidia kuwa na uelewa juu ya afya ya akili na ikikupendeza mdau ipigie kura ili ilete tija kwa taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.