Recent content by confused

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    oky guys, nimeenda and i tested negative.. but i had hiv exposure, tommorrow inshallah iam going to start PEP for hiv.. i do hope for the best inshallah
  2. C

    JamiiForums Tanzania wadau when will hiv be cured???

    I believe wanayo hawajaaamua kuitoa tu
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    Bado siajenda wadau mpaka sasa hv
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    kaka nipe muongozo
  5. C

    JamiiForums Tanzania wadau when will hiv be cured???

    siku watakayoamua kutoa dawa when wakishamake enough money
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    mpaka sasa hv sijapata jibu
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    nitaleta.. niambieni basi wapi nitapata hiyo huduma kwa kesho
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    nimekupm kaka, please open inbox yako
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    bibie jina hili ni kutokana na hali halisi ilivyosasa hv
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    yeah.. i know that man.. je wajua sehemu yoyote nitakayopata hiyo huduma kwa bei ya ahueni?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    Kaka hiyo 27 ni kwa mtu mmmoja? na je inachukua muda gani kupata majibu? maana parefu hapo.. sehemu gani nyengine ambayo ni ya bei nafuu?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    Niko dar, maeneo ya mkwajuni..naomba muniambie sehemu ambayo kesho naweza kupata hiyo huduma na kwa bei nafuu.. Ni muhimu saana kupata hiyo huduma kesho
  13. C

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kupima UKIMWI kwa kesho jpili

    Mamboz . Natarajia mko poa wadau.. Nahitaji msaada wapi naweza pata huduma ya kuenda kupima ukimwi kesho jpili?
Back
Top Bottom