Asante!, Chakula cha kuku, (kumbuka ni wa kienyeji) unaweza walisha pumba, mahindi, ulezi n.k kulingana na mtaji wako, lakini pia unaweza kuwapa chakula cha dukani kilicho andaliwa kitaaluma endapo utahitaji kuwatunza kisasa zaidi
Soko la kuku na mayai yake linashika kasi kuliko ilivyodhahaniwa hapo awali, watumiaji wake wamekuwa wengi, wapo watu wanaofanya biashara ya kujumua/ kulangua mayai na kuyauza, wapo wanao jumua kuku pia na kuwauza tena wengine huchukua kwa oda.
Mwisho wa siku utona mradi wako ni kama umekuwa mdogo
Asante mdau, aina mabanda yaliyo ainishwa hapo juu katika maelezo ya yanategemea utakavyo ona wewe namna nzuri ya kuyajenga, kwa kuzingatia vingezo na maelekezo hapo katika chapisho
Rejea, kutengeneza banda mbali na makazi, usiruhusu kila mtu kutembelea maeneo au mazingira ya mradi wako.
Pia zingatia chanjo zile za awali kama zilivyo elezwa ndani ya chapisho
KUTOKA UFUGAJI WA KUKU KUMI NA MOJA MPAKA MAELFU
YANAYO HITAJIKA
1. Kuku(tetea) kumi (10) na Jogoo mmoja (1)
2. Banda lenye ubora
3. Vyombo kwaajili ya chakula na maji
4. Chakula bora na kilicho na virutubisho kwa kuku
5. dawa na chanjo kwajili ya magonjwa
6. Chanzo nishati joto na mwanga ktk...
MRADI MDOGO WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI WENYE TIJA
YANAYO HITAJIKA
1. Kuku(tetea) kumi (10) na Jogoo mmoja (1)
2. Banda lenye ubora
3. Vyombo kwaajili ya chakula na maji
4. Chakula bora na kilicho na virutubisho kwa kuku
5. dawa na chanjo kwajili ya magonjwa
6. Chanzo nishati joto na mwanga ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.