Recent content by Codename96

  1. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Anhaa! Unazingumzia ule upande wa kule. Ule upande baada ya kuvuka barabara kutoka sheli ?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Temeke sehemu gani wanauza ?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Kaka nahisi ule mtaa hujapita mda mrefu. Siku hizi pale kuna TV mpya zaidi ila vyombo vya nyumbani ndio vya mtumba. Mi juzi nilienda pale.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Karibu kuchangia kaka!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Kaka umejuaje kuwa ni za wizi ? Labda wanazitoa Zanzibar ?
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Asante kaka. Ule mtaa wenye sheli ?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Kumbe huwa pana TV pale ? TV zipo magomeni sehemu gani kaka ? Mi huwa naonaga mafriji tu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tupeane connection za TV za mtumba

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Ndugu zangu, mimi nataka kununua TV ya mtumba. Ila sijui nianzie wapi. Kariakoo nimeenda ila nimekuta TV nyingi pale ni za dukani (yaani mpya). Kama kuna chimbo za TV za mtumba pale karikoo basi naombeni mwongozo wenu. Au kama kuna muuzaji wa TV za mtumba...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    TV ya inchi 24 bei gani ?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji TV nzuri ya inchi 24
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Nitumie namba kaka
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Nitumie namba yako INBOX nikupigie
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Wazee bado sijapata PS3
  14. C

    JamiiForums Tanzania Kama unauza PS3 ambayo ipo katika hali nzuri yaani haina tatizo lolote, njoo PM

    Nipe namba INBOX nikupigie
Back
Top Bottom