Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24, mwili wangu sijui una nini maana nihisi kama vitu vinatembea mwilini na pia naota ndoto za ajabu sana, na kiukweli mambo yangu hayaendi vizuri kila nilipangalo haliendi sawa.
Nimeshajaribu kwenda hospitali baada ya vipimo hakuku na lolote baya ila bado mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.