Yap kaka ni masquaroda. Nimeish dongobesh sana pale uwanja wa mpira jran na ktuo cha polisi..nimewafaid sana kwa macho mabinti wa pale dongobesh na vijiji vya jran kama gidim, tumati na endoji. Nakumbuka pia mabasi maarufu ya pale kama gari za Bayo, Mjomba na Bashnet coach.