Recent content by cherry nkya

  1. C

    JamiiForums Please help, what should I do?

    thanks alot kwa hili ngoja nitumie baada ya muda ntatoa feedback
  2. C

    JamiiForums Please help, what should I do?

    uyo mzizi mkavu nampataje
  3. C

    JamiiForums Please help, what should I do?

    Jamani nina tatizo la constipation(kufunga haja kubwa)na nilimuda sasa morethan 2 yrz nimejaribu tiba nyingi haijasaidia naona mabadiliko pale tu ninapotumia dawa ila zikiisha tatizo liko palepale,nimejaribu dawa za kienyeji ila responce yake ndo ndogo zaid, naenda haja afta siku nne na...
  4. C

    JamiiForums Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    me nakushauri uanze kutumia light diet yan kama ndizi,viazi,nk na matunda kama mapapai n parachichi yatasaidia kwanza kukilainisha choo ambapo baada ya hapo ndo utapata angalao mwanga kwamba kutoka kwa dam ni ugumu wa choo,au la kama choo ni kilain na bado damu bado inatoka c a doctor
Back
Top Bottom