Recent content by CHE_BUEVARA

  1. CHE_BUEVARA

    SoC02 Ngono na utamu wake, kinga na adui wake

    Shukrani sana, Nakubali.
  2. CHE_BUEVARA

    SoC02 Uongo mtamu ni kupika matokeo ya ukweli wenye uchungu

    Nakusalimu kwa lugha ya Kiswahili na vyovyote utakavyonijibu ni sawa tuu. Hahaha! Hebu kumbuka ulivyokua mtoto zile ‘kamba’ wazee wako walikua wanakupiga? Sasa kuna hii moja ambayo nadhani kila mzazi amewahi kuitumia kwa mtoto/watoto wake na hao watoto pia wanaendelea kuitumia kwa watoto wao...
  3. CHE_BUEVARA

    SoC02 Ngono na utamu wake, kinga na adui wake

    “Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, nimeshaachana na Jackie sasa namfata salama, saa kumi na mbili nina appointment na mademu Wawili, achana na lily ambae tutakutana saa mbili.” Hapo sasa Ferooz alikua anatusimulia namna ambavyo alikua anakula bata tena lile la kipindi cha miaka ya elfu...
  4. CHE_BUEVARA

    SoC02 Mimba ni muunganiko wa taarifa nyingi zisizokuwa na mpangilio

    Mambo vipi mwanajukwaa? Hivi una mdogo au mtoto wa kike? Sasa huu ndio wakati wa kumuwaza huyo binti yako aisee, wamombo wanasema ‘Imagine’ yani unaweza hata kufumba macho na kumvutia picha binti yako mwenye umri chini ya miaka kumi na tano (15) anatembea tembea hapo sebuleni kwako na kitumbo...
Back
Top Bottom