Recent content by Chambulikazi

  1. Chambulikazi

    JamiiForums Gharama za usafishaji wa masikio

    Pole mkuu, acha tuwasubiri tupate msaada wote maana tupo wengi. Mimi mgeni humu nimejiunga jana ila na mimi nina ishu ya masikio inanisumbua.
  2. Chambulikazi

    JamiiForums Gharama za usafishaji wa masikio

    Pole sana mkuu tusubiri waje tupate msaada maana tupo wengi. Mimi ni mgeni humu nimejiunga jana ila nina ishu ya masikio inanisumbua na mimi
  3. Chambulikazi

    JamiiForums Naomba kujua gharama za usafishaji wa masikio

    Mkuu pole sana, mimi masikio yangu yote mawili yananisumbua. Ila yangu mimi hayaumi wala hayatoi usaha wala hayafanyi nini, isipokuwa mimi sielewi mtu akiongea, yani nasikia sauti vizuri ila nakuwa sielewi anaongea nini yani kuna herufi nakua kama sizisikii zikitamkwa wakati mtu anaongea...
Back
Top Bottom