Recent content by chakubangamkoloni

  1. chakubangamkoloni

    Kama kuna yeyote anaeweza kunipa faida za kutokuoa au kutokuolewa ajitokeze

    Faida kuoa 1.kupata mahaba bila ya kuyatafuta mtaani 2.kupata watoto halali /familia ndani ya ndoa 3.kidhihirisha uwezo wako wa kumvumilia unayeishi naye 4. Kudhihirisha uwezo wa kutunza watoto na mama yao n.k
  2. chakubangamkoloni

    Nina wasiwasi yaliyomkuta Yusufu yananinyemelea

    Kuna watu Wana ajili za ajabu Sana humu ndani, sio kesi ndio mungu alivyowajaalia viumbe wake
  3. chakubangamkoloni

    Najiuliza kwanini wanaume mahandsome hawana hela?

    Mungu hakupi vyote mda mwingine
  4. chakubangamkoloni

    Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Wakuseme thubutu! hawakuogopi? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. chakubangamkoloni

    Vijana oeni maana mnakosa baraka nyingi mno bila kufahamu

    Watu KUOA ni changamoto sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Ila ni Nini? Umetumia kigezo Yani kujua Sent using Jamii Forums mobile app
  7. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Unajidanhanya Sana Kila nyama utamu wake Kuna stake, mifupa, mchanganyiko, utumbo, maoni na kongolo Kila nyama Ina utamu wake hakuna kufanana apo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. chakubangamkoloni

    Wana MMU kuna ID humu naitafuta, nikiipata natangaza ndoa rasmi na vikao vyote vitafanyika humu

    Duuuh nimecheka Sana uju! Mbafu sanguuuuh uwiiiiiiiiiiih Sent using Jamii Forums mobile app
  9. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Sio kweli umepiga lamli wewe? Ni kitu gani kimekujulisha mi napenda wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Yangu sema sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Ndio yangu unasemaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Ndio mum haswaa nipe Nani jibu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. chakubangamkoloni

    Nina wake wawili lakini kuna binti ananipenda

    Kwani Ina tatizo aseei? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. chakubangamkoloni

    Vijana wa Kiislam: Njia sahihi ya kutafuta Mwenza

    Ukiona inafaa apply Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom