Recent content by Ceo98

  1. Ceo98

    Offer njoo ujipatie kisima kwa bei nafuu kutoka kwetu (wachimbaji visiima)

    Waterlife well drillers! [emoji98]chimba kisima kwa gharama nafuu[emoji98] Baadhi ya maeneo ya Kigamboni/Mikocheni & masaki ni 2.8 million mpaka 4million [emoji98]utafiti wa maji (hydrogeological survey) - 300,000/= daresalaam. 600,000/= mikoani[emoji98] Dsm -60,000/= per meter full...
  2. Ceo98

    INAUZWA Solar mobile power for sale

    Hiki kifaa kina uwezo wa kucharge tablets,simu,taa camera nk yani kinauwezo kama power bank kinakuja na Taa mbili pamoja na solar. Vile vile kina Radio ambayo ina support bluetooth ,Fm radio,flash drives port mbili pamoja na memory card kina fanya vingi ila hivo ni vichache nilivyokueleza...
  3. Ceo98

    Kampuni ya kukodisha magari

    Hivi kuna kitu kinaitwa Uber je unakijua? Na znz kimefika? Nadhan utakua umenipata. ukiweza kunielewesha hawa wanafanyaje kazi na wenye magari basi utakua umenisaidia sana maana sijaona sehem inayosema mtu aende TRA
  4. Ceo98

    Kampuni ya kukodisha magari

    Mhh watu wanafnya kama kawaida .hiyo mikwala tu[emoji23][emoji23] kama huna gari kaa pembeni , wote sheria tunajua
  5. Ceo98

    Nauza TECNO CAMON C8

    Ahsante kwa offer yako.
  6. Ceo98

    Nauza TECNO CAMON C8

    Ahsante
  7. Ceo98

    Nauza TECNO CAMON C8

    Piga simu
  8. Ceo98

    Nauza TECNO CAMON C8

    Nauza simu tajwa hapo. Tecno camon c8 kwa bei ya 200,000/= tu imetumika mwezi mmoja bado mpya kabisa. Sifa zake- Storage-GB16 CAMERA-5MP MBELE,13MP NYUMA INA FLASHLIGHT MBELE NA NYUMA RAM-1GB KIOO-INCH 5.5 BATTERY-MAH 3000 MAWASILIANO - 0659603039
  9. Ceo98

    PS2, PSP, Computer na PS3 games

    Check namba uliyoweka haijatimia
  10. Ceo98

    Niuzie used iphone 5/ 5s,au note 3

    Kuna 4s 320k 3 weeks used (16gb)
  11. Ceo98

    Smartphone inahitajika

    nina s2 mpyaa 240 tu fully boxed
  12. Ceo98

    Nauza Huawei y530

    ninayo amabyo siyo ya tigo inatumia line zote na bado mpya naiuza 160,000
  13. Ceo98

    Naomba msaada anayefahamu wapi naweza kupata front cover screen ya Samsung

    Weka offer yko mi najua zinapo patikana kwa hapa dar
  14. Ceo98

    Nahitaji PS2 mbili zinazocheza gemu kwa flash

    Ipo ile kubwa 130 unapata na pad moja
  15. Ceo98

    Nahitaji Laptop, bei isizidi 400,000/=

    Nimeku whatsapp 🙌🙌🙌
Back
Top Bottom