Habari wana jamii
Nasumbuliwa na tatizo la fangusi kwenye korodani na nilipata baada ya kukutana na mwanamke mwenye tatizo hilo apo ndipo nilipoaanza kuwasha mikono na mapajani sasa hivi nawashwa kwenye korodani na kuna mabaka kama ya kuugua hivi... Na ngozi ya korodani kuwa nyeupee sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.