Recent content by C87

  1. C

    SoC02 Mazingira yetu, afya yetu,wajibu wetu

    MAZINGIRA YETU, AFYA YETU,WAJIBU WETU: Afya zetu ni muhimu sana kwa ajili ya kesho yetu,kwani afya bora ndiyo chanzo cha uhai bora,tabasamu na bashasha njema kwa familia,ndugu na marafiki zetu. Afya ya kweli ni lazima izingatie mambo kadhaa kama yafuatayo. 1. ULAJI MZURI WA CHAKULA (KULA KWA...
  2. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    Habari, kwa wageni wote jinsi ya kunipigia kura gusa kimshale hapa chini ya post chenye arama "^" chini ya chapisho. Kama ukipata shida kwenye kupiga Kura Tafadhali nijulishe kwenye comment kwa maelekezo zaidi. Tafadhali lakini pia usisahau Ku-like chapisho na kuacha maoni yako kuhusiana na...
  3. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  4. C

    SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
Back
Top Bottom