Recent content by Bwana Matunda

  1. B

    JamiiForums Tanzania Je kuna usalama kwa mlaji kwenye mbogamboga tunazonunua mitaani na sokoni?

    JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA? Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo ya pale utumia kulima mbogamboga. Furaha yangu ilifika kiwango cha juu sana baada ya kukutana na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Usimeze matunda, uwe unatafuna

    Ndio wengi sababu ya haraka na kutokujua ula tunda bila kutafuna vizuri.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Fahamu vitu ambayo hutengeneza afya bora ya binadamu

    NI VITU GANI UTUMIKA KU-CREATE AFYA BORA KWA BINADAMU? Ukitaka kupika maandazi basi utahitajika uwe na mahitaji(ingredients) kama unga,chumvi,sukari,baking powder,iriki,maji n.k Sasa turudi kwenye afya, ukitaka kuwa na afya bora,Je unatakiwa uwe na mahitaji gani? (What are those ingredients for...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Usimeze matunda, uwe unatafuna

    "Ili mtu uweze kupata faida(virutubisho) kutoka kwenye chakula ni lazima chakula iko kipite katika mfumo wa umeng'enywaji chakula(digestive system) ambao unatumia organ zake mbalimbali ili kumeng'enya chakula na kufyonza virutubisho katika chakula. Mdomo(mouth) ndio organ ya kwanza inayotumika...
Back
Top Bottom