Recent content by Bukile

  1. B

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Hii sio kweli na ikitokea ni lazima huyo mwenye nyota tatu awe hajitambui
  2. B

    Naomba kuelimishwa kuhusu masuala ya salute kati ya Jeshi na Polisi

    Saluti kwa haya majeshi ni changamoto sana, PGO inaagiza kuwa "askari wa Rank and File watawapigia maofisa wa majeshi mengine wakiwa in-uniform". Hivyo hutaona ulazima wa kisheria wa kupiga saluti hizo bali hekima na busara inabidi ziwaongoze katika kuheshimiana.
  3. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Ni kosa la jinai kuzuia utendaji wa maofisa wa Polisi, na pia ni kosa la jinai kuficha au kuharibu kielelezo cha kesi iliyopo mikononi mwa Polisi. Labda kuna jambo watu hawalioni hapo linaitwa contamination of evidence.
  4. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Fuatilia sana elimu za hao wanaodharau. Utapata shida hata kumlaumu. Cha msingi ni kumsamehe na kumuonea huruma!!!!
  5. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Haitatokea!!! Tena alitakiwa apate adhabu kubwa
  6. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Sana sana inatakiwa DC ajipime mwenyewe
  7. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Nimeiona You tube itafute
  8. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Nakutumia video hapa, walikuwa kwenye store ya kutunzia vielelezo. Sio shambani.
  9. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Inapotokea Polisi anapokea mtu ambae kaamuriwa kumweka ndani na watoa maelekezo, yule mtu akafia ndani ya selo za Polisi bila kuwa na sound accusation atakayechukuliwa hatua sio mtoa maelekezo bali mkamataji, ndio maana Polisi wanapoomba muda wa kutafakari ukamataji wana maana nzuri tu kuwa...
  10. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Amri za Polisi zipo kama ifuatavyo;- 1. Amiri Jeshi Mkuu 2. IGP 3. Commisioner of Police 4. Deputy Commisioner of Police 5. Senior Assistant Commisioner of Police 6. Assistant Commisioner of Police 7. Senior Superitendent of Police 8. Superitendent of Police 9. Assistant Superitendent of Police...
  11. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Saluti inapopigwa ina sababu, ni salamu kwa askari aliyevaa uniform kamili na kofia. Sio ishara ya kuonyesha kila anayepigpiwa ni bosi. Inspekta wa Polisi kwenda juu anapigiwa saluti bila mipaka nchi nzima, lakini DC atapigiwa na rank nilizozitaja hapo juu kwa lazima akiwa kwenye eneo lake la...
  12. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Polisi wanaitwaje? Wanaitwa bwana na bibi? Mfumo wa Rank na majina ya Rank yanatokana na mfumo mnaotumia. Wengi wanaotumia mfumo wa Uingereza majina ya vyeo vya polisi yatakuwa Constable, cpl, sgt.... Inspectors, superitendents au Commisioners mpaka Inspector General. Hakuna Polisi anayetajwa...
  13. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Amemtaadharisha mara nyingi kuwa hiyo mbolea ni vielelezo. Hata Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Songwe amefafanua kuwa haiwezekani mbolea kugawanywa bila kibali cha mahakama. DC hahusiki na maamuzi hayo
  14. B

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    Nyerere hakuwa DC, alikuwa Rais!!! Mwenye nguvu za kusamehe hata wafungwa
Back
Top Bottom