Recent content by Bryan audax

  1. Bryan audax

    Nina tatzo la uume wangu katikati ya kutolea mkojo kuna kinyama kimejitokeza kidogo, sijui nini shida

    Dr msaada Nina kinyama katikati ya uume nn shida na tiba yake je
  2. Bryan audax

    Nina tatzo la uume wangu katikati ya kutolea mkojo kuna kinyama kimejitokeza kidogo, sijui nini shida

    Dr habari za kazi aisee Nina tatzo la kujitokeza kinyama katikati ya uume wangu n kadogo Sana kapo sehemu unapotokea mkojo sijui nn shida msaada wako na tiba yake nini? Samahani kwa hiyo picha.
  3. Bryan audax

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI ✍��Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa. ����Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye makampuni makubwa, wenye utitiri wa...
  4. Bryan audax

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA! ��Mama mmoja Mzungu alitembelea mlima Kilimanjaro miaka iliyopita. Alikuwa amepanga kupanda mlima Kilimanjaro mpaka kileleni, yaani Kibo na Mawenzi, ili hatimaye apewe cheti cha kupanda mlima mrefu Afrika. ��Lakini kwa bahati mbaya...
  5. Bryan audax

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Watu wengi wamekuwa wakitamani kuanza biashara lakini wanafikiri namna ya kuanza kwani mtaji wao ni mdogo sana. Usiogope; kuwa na mtaji mdogo au kutokuwa nao kabisa sio mwisho wako wa kutimiza malengo yako. “Usilie juu ya kile ambacho huna; tumia vizuri kile ulichonacho.” Reginald Mengi. Zipo...
Back
Top Bottom