Mimi nimekua hapo pia, ni kijana pia.
Nimepigiwa Hadi nilipobadili mawazo na Imani kuwa hakuna kazi
Nikaanza kuweka account yangu ya LinkedIn vizuri na kuandika Wasifu wangu kitaalamu Sana tena mwenyewe Kwa furaha kiasi kwamba mtu akiona anadhani nimeandikiwa na Kampuni inahohusika na kuandika...
Haja
Hahahaha, umeenichekesha Sana, ni kweli, vile Imani imekosekana mwili unakuwa mvivu, mtu hata kuandika barua ya kazi hataki.
Yuko radhi ashinde betting kuliko ashinde masokoni kutafuta wateja.
Imani potovu ikishaingia inaharibu mfumo wote wa utendaji kazi
Mtu ajiulize, toka ameanza...
Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”.
Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda utambue kuwa nilikuwa kama wewe.
Ajira zipo nyingi Sana, zinatoka na kutangazwa Kila dakika kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.