Recent content by Bluebird

  1. B

    In Defence of H.E Dr Jakaya Mrisho Kikwete

    Brilliantly said my good man!!! Unfortunately I don't think defenders of the so-called H.E. are smart enough to grab what you are saying. Our friend SlidingRoof should be reminded that most of us (if not all) gave him all the benefit of the doubt at some point. For a long time we foolishly...
  2. B

    Kongamano la Vijana wa CHADEMA vyuo Vikuu DSM-Dr Slaa,Zitto,Mnyika,Marando Kuunguruma

    Asanteni sana Mheshimiwa Dada Mtema kwa mapambano mnayoyakabili kwa niaba ya waTanzania wote. Nashukuru kuwa chama chetu kimetayarisha Kongamano hili na nina uhakika litafanikiwa. Wote wapenzi wa chama ambao hatutaweza kuhudhuria tutawawekeni kwenye mawazo yetu na tuna uhakika safari hii yetu...
  3. B

    LUHANJO: Sitta, Mwakyembe hawajazibwa mdomo kuzungumzia DOWANS

    ChiefmTz, kama Waziri Membe ameamua kufungua mashtaka kwa ajili ya kusingiziwa, inakuwaje Ofisi Kuu ya Nchi inasingiziwa na iache kufungua kesi. Kinachoaminika ni kuwa kikao kimefanyika ila Ikulu inaogopa kuchukua hatua zozote za kisheria kwa sababu hawajajua mtoa habari ametoa habari nyingi...
  4. B

    Why we Oppose Them: In Memory of Fallen Heroes of Democracy

    And when are you going to learn how to spell "definitely"?
  5. B

    Why we Oppose Them: In Memory of Fallen Heroes of Democracy

    Thanks Mwanakijiji for this piece. It is an excellent assessment of the problem we face as a nation. I hope the poor who still support CCM and the ruling elites can read it with a certain level of objectivity and learn not to repeat past mistakes in 2015.
  6. B

    Hivi serikali imewakilishwa na nani kwenye msiba, imesusa?

    Zomba na wewe umekosa maana sasa. Kila unavyozidi kuongea ndio hivyo hivyo unazidi kutudhihirishia kuwa problem yako kubwa sio kwamba huwapendi CDM ila IQ kidogo iko low.
  7. B

    LHRC kufungua shauri High Court kupinga TUZO ya DOWANS...............

    Hivi wewe Zomba lengo lako hapa JF ni nini? Sijawahi kukuona hata siku moja umeweka posting yenye lengo la kujenga Tanzania. Naona unaweka post ili watu wakubishie ndio ufurahi lakini sioni kama una lengo lolote la kuendeleza nchi yetu.
  8. B

    Mwakyembe usikubali ushujaa wako upotee haraka na kirahisi hivyo!

    Mtaka Haki while I am on your side, I don't think yours is a fair expectation. What is Dr. Mwakyembe expected to say? What would be his authority in this case? Whatever he says will put him in a bad spot. If he is as smart as you believe he is, then he is not going to expose himself to attacks...
  9. B

    Omar Nundu is purposely misleading - on Wikileaks Airbus revelations

    Please let me correct some comments in this thread. Wikileaks as an organization hawajasema kitu chochote. What they did is "leak" cable communication between US Missions worldwide and the State Department. Wale wanaotoa comments kuwa Wikileaks waprove hiki au kile, they are mislead to believe...
  10. B

    Tangazo la maandamano ya amani kupinga kulipwa kwa dowans

    Lat, Mwenzetu Mwanalugalu anachotuomba ni support - physical support. Sidhani kama anafanya hili kwa ajili ya bia. Unavyom-offer bia ni kama kumtukana vile kwa sababu unafanya wito wake ambao ni serious uwe kama wa mzaha. Wenye nguvu tutatengeneza bango na tutakuja. Tafadhali wananchi wenye...
  11. B

    Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

    Mundu, get off it!! At least amejiuzulu - the guy is trying to make a statement by giving up something - wengine wamekaa kimya. Badala ya kumchallenge kuwa amechelewa kujiuzulu, at least tumtambue kwa kuwa mtu wa kwanza kujitoa mhanga. Kujiuzulu kwake pamoja na kwamba kumechelewa kama wewe...
  12. B

    Omar Nundu is purposely misleading - on Wikileaks Airbus revelations

    Unajua hawa mawaziri wetu ni wapumbavu sana. It's sad that they do not know that as a minister in government unapoita news conference na kuongea nao kuhusu issue yeyote, you are already representing your ministry and in effect, your government. People like Nundu are still governing like our...
  13. B

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    ....tofauti yake ni kuwa sasa hivi wananchi wana mwamko zaidi ya wakati ule na kwa bahati yao mbaya serikali hii ya ccm wame miss-calculate hilo. Damu iliyomwagika haitapotea bure!
  14. B

    Kwa nini dr. Slaa anaingia jf mara kwa mara?

    Ili iwe nini? Dr. Slaa siku zote anaanzisha hoja akitumia jina lake. Leo hii aanzishe hoja kama hii akiwa na sababu gani? Kama ni sifa hapa jamvini tayari anazo. Lazima uelewe kuwa kuna watu kama Dr. Slaa ambao hawaishi kwa ajili ya sifa. Sacrifice ambazo Dr wetu ameshatoa zitalast lifetime...
Back
Top Bottom