Recent content by bintij

  1. B

    MFANYAKAZI WA SALON ANAHITAJIKA

    Mfanyakazi wa Salon ya kike mwenye ujuzi wa kusuka vizuri nywele za rasta aina zote, hususani yeboyebo anahitajika haraka. Salon iko Mbezi Salasala mwisho wa lami. Piga no. 0784 386474 Au 0718 780556
  2. B

    Mbwa wa kufuga anahitajika

    Nahitaji M'MBWA mdogo , umri Kati ya wiki 4 hadi 6, Mbegu kubwa inayofaa kwa ulinzi. Tafadhali mwenye nao awasiliane kupitia no 0714 920195/ 0784386474.
Back
Top Bottom