Tunatoa huduma za garden designing/landscaping na uuzaji wa miche ya miti. Ukihitaji miche ya miti,matunda na maua weka order yako sasa tukuandalie na/au kukuletea. Huduma hii (yaani pamoja na delivery mpaka eneo lako) kwa sasa inapatikana Dsm kwa Kigamboni yote, Toangoma, Mbagala na Mwandege...