Recent content by big1

  1. B

    JamiiForums Tanzania Naweza Jua Beai Ya SimTank au PolyTank la Maji la lita 500

    Namba ya cm mkuu mm nalitaka ilo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaranga wa asili na mayai

    Unapatikana Moro sehem gan? Na hao kuku wa mwez unawauzaje?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naweza Jua Beai Ya SimTank au PolyTank la Maji la lita 500

    mkuu ayo yako unayoyauza ni ya aina gan?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Morogoro (square meter 1330) na mbao za finishing na za kutengenezea milango

    Izo mbao za mlingoti zina mapana gan na urefu na bei gan, pia ziko morogoro sehem gan?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

    Umbali gan kutoka stand? Na vina ukubwa gan na je vina document?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Ti

    Rangi nyeupe, bima kubwa, auto, Niko Dodoma na document zote zipo....picha zinakataa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Ti

    Nauza gar yangu aina ya Ti, iliingia Tanzania mwezi wa nne 2014 kuna mambo nataka kuyaweka sawa ndomana nauza 8.5mil, Aijawai pata ajari na ni mpya vile vile
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ufundi pikipiki na spare part

    Uko wap wewe?
Back
Top Bottom