Nashukuru sana Anita kwa kuongezea hoja hapo. Katika hoja niliotoa mimi naweza kunukuu "Ukweli ni kwamba mitaala inabadilika lakini namna ya ufundishwaji ni ule ule kabisa. Hivyo hakuna mantiki ya mabadiliko.
Hii ni kutokana kwamba hakuna ujuzi mpya wa kufundisha kwa ufanisi na wa kuleta tija...
Vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vikuu wamejikuta katika wimbi zito la ukosefu wa ajira. Siku ya kuhitimu pamoja na kufanya mahafali huwa ni siku nzuri sana na inayopendeza kwa wahitimu, familia zao pamoja na jamii nzima kwa ujumla. Ila wiki chache baada ya kuhitimu ndipo jamii inapokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.