Recent content by beric

  1. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Nipe link hiyo aliyosema plz.. plus you have to know there has been a lot of knowledge on virusi ambayo zamani hatukuwa nayo. With new light as long as you can show me the proof from different trusted sources nitasoma pia. Please show me that proof you say unayo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    ARDS pia yaweza kuwa acute respiratory distress syndrome
  3. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Nitafika huko baadae nikianza kuongelea. Miaka ya 80 UKIMWI ndiyo ilianza kusambaa Nchini kwetu. Lakini hili swali litajibiwa sana nitakapoongelea uhusiano kati ya virusi vya UKIMWI na UKIMWI. Tafadhali fuatilia.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Kama nilivyosema, lazima kuwepo na mgusano kati ya majimaji ya mwenye virusi na damu ya asiye na virusi. Miirija hiyo ina layer inayouitwa epithelium. Hii layer in seli maalum ambazo hazina kipokezi(receiptor) inayoweza kupokea virusi. Hivyo ni lazima iwepo mgusano na seli zenye uwezo huo. Seli...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Hapana haiwezi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo na kinga ya watoto

    Kuna thread iliwekwa tayari..
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo na kinga ya watoto

    Tarehe 30 mwezi wa nne dunia inahitimisha wiki ya chanjo duniani. Hebu uliza wataalamu waKupe majibu kuhusu swali lolote kuhusu chanjo.. Wataalamu toeni maelezo kwa kila swali. NB: kama kuna kitu umesikia, iweke kama swali upate jibu. Ili kila jibu liwe jibu sahihi.
  8. B

    JamiiForums Tanzania TUFAHAMISHANE juu ya mazara ya chanjo kwa mtoto

    Ni kama BCG kwa ajili ya TB, polio, DPT hib, rotavirus, Measles and Rubella na kadhalika
  9. B

    JamiiForums Tanzania TUFAHAMISHANE juu ya mazara ya chanjo kwa mtoto

    Kila chanjo lengo lake ni kumkinga mtoto na ugonjwa unaochanjwa. Chanjo tanzania
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za kikohozi na madawa ya kulevya

    Hii sikujua kama Ina caffeine. Thanks kwa kunifumbua macho
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za kikohozi na madawa ya kulevya

    Extra kumbe. Hiyo caffeine kweli si mchezo. Zingine zina 30mg
  12. B

    JamiiForums Tanzania Dawa za kikohozi na madawa ya kulevya

    Angalia content zake. Panadol Ina paracetamol tuu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Ni kweli maandalizi mazuri hupunguza chance ya maambukizi. But haiondoi kabisa uwezekano. Ndio maana tunashauriwa kuendelea kutumia condoms kwa usahihi
  14. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya ukimwi na ukimwi (insight) PART 1.

    Ndiyo reality. Huwezi kuondoa uwezekano wa mchubuko kwa asilimia 100
Back
Top Bottom